Video de: Ibaki Story Lyrics Ammy Waves » Lyrics Fox.MusicaDe.Win

Bienvenidos a Fox.MusicaDe.Win Disfruta del Video de: Ibaki Story 2025 Ammy Waves » Lyrics y comparte musicas con los amigos, Musica Gratis 2025! Fox.MusicaDe.Win!.

Video de: Ibaki Story Lyrics Ammy Waves » Lyrics

Ammy Waves - Ibaki Story Lyrics


[Chorus: Young Lunya]
Ibaki, yeah
Ibaki stori kwamba nishawahi kua na wana kibao (ibaki)
Ibaki stori kwamba nishawahi kua na wana ambao (ibaki)
Changu chao, chao chao wao
Ibaki story wana ka hao
Ibaki story sina time nao
Ibaki tu story
Ibaki tu story (ibaki)
Ibaki tu story
Ibaki tu story (ibaki)
Ibaki tu story
Ibaki tu story (ibaki)
Ibaki tu story
Ibaki tu story
Ibaki tu sto sto sto story

[Verse 1: Salmin Swaggz]
Huh, it’s been a minute
Kila wanachosema my nigga we done seen it
Bado tunahema kabla hatuna hata hamsini
Kumekucha ni mapema, afu tumelala chini
Hakuna anayejua nilichopitia than I do
These girls know me kama lyrical hard dude
Watu washanirudisha nyuma mi nakomaa tu
Nishatembelea hata nyota za majina ya watu
So please, polepole
Telling you lovers I’m so sorry
Najuta sababu nilikua mpole
Ila maisha yamenifunza adabu na itabaki story
And I ain’t gotta worry
Wakisema nimechange nawaambia tu wanangu keep change
Mara mia nitembee na wanangu weekend
Wasionipangua tangu machangu wanapretend a lot
[Chorus: Young Lunya]
Ibaki, yeah
Ibaki stori kwamba nishawahi kua na wana kibao (ibaki)
Ibaki stori kwamba nishawahi kua na wana ambao (ibaki)
Changu chao, chao chao wao
Ibaki story wana ka hao
Ibaki story sina time nao
Ibaki tu story
Ibaki tu story (ibaki)
Ibaki tu story
Ibaki tu story (ibaki)
Ibaki tu story
Ibaki tu story (ibaki)
Ibaki tu story
Ibaki tu story
Ibaki tu sto sto sto story

Ibaki Story » Ammy Waves Letras !!!
Esta web no aloja ningun archivo mp3©Fox.MusicaDe.Win 2025 Colombia - Chile - Argentina - Mexico. All Rights Reserved.

Musica Online, Escuchar musica online , Musica En Linea, Musica en linea gratis, Escuchar Musica Gratis, Musica Online 2025, Escuchar Musica

Musica 2025, Musica 2025 Online, Escuchar Musica Gratis 2025, Musica 2025 Gratis, Escuchas, Musica de Moda.