TUPHY ~"HAUJAPATIKANA"
Asali ya mapenzi umevuruga,umemwagia dona
Kidonda nilochonacho juu ya penzi lako hakijapona
Nimejaribu nikupigie,simu yako hupatikani
Nimejaribu nikuimbie Wenda utanisikia hewani...
(Semichorus)
Tungedumu mpaka leo
Uwe mke mi mmeo
Penzi umelishusha vyeo
Natapatapa ila
(Chorus)
Haujapatikana
Oh owh owh
Haujapatikanaaaa
Uye ye ye
Uye ye
Haujapatika ah
Oh owh owh
Uye ye ye
Uye ye
Verse2:
Sema bebi nilichokutenda unanipa noma iyoo..
Kipi Zaidi nilichokutenda ukaniumiza roho..
Nyota hainga'ai beibe we ndo tabibu
(tabi tabi tabi)
Chupa linapoza chai beibe
Oh majaribu
(ye ye)
Semichorus)
Tungedumu mpaka leo
Uwe mke mi mmeo
Penzi umelishusha vyeo
Natapatapa ila
(Chorus)
Haujapatikana
Oh owh owh
Haujapatikanaaaa
Uye ye ye
Uye ye
Haujapatika ah
Oh owh owh
Uye ye ye
Uye ye
(Bridge)
Tungedumu mpaka leo
Uwe mke mi mmeo
Penzi umelishusha vyeo
Natapata tapa ila
Chorus
Haujapatikana
Haujapatikaana
Haujapatikana
Haujapatikaana