[Verse 1: Bien]
Kunywa maji, eh
Ukimaliza kunywa pombe
Peleka maisha pole pole
Raha jipe mwenyewe zitoke
Kunywa maji, eh
Ukimaliza kunywa pombe
Peleka maisha pole pole
Raha jipe mwenyewe zitoke
Songa ugali, eh
Foundation weka ya samaki
Ni katikati ya January
Kula ukasirishe kamati
Twanga ugali, eh
Foundation weka ya samaki
Ni katikati ya January
Haribu jina, jenga mwili
Ayoyo
[Pre-Chorus: Bien]
Aroro
Fungua button ya shati imekukaba koo
Fungua pia mshipi, achilia tumbo
Usiogope kukula jasho yako, mamama
Aroro
Nikona size yangu, yaani four by four
Katoto mali safi better than before
Pesa sabuni na inaniosha roho
[Chorus: Bien]
Hapa ni mbwe mbwe
Hapana leta shida, hapa ni mbwe mbwe
Hapana leta vita, hapa ni mbwе mbwe
Na ukileta ngori, ngumi mbwegzе
Hapa ni mbwe mbwe
Hapa ni mbwe—
Waiter mbili mbili, hapa ni mbwe mbwe
Wawili wawili, leo ni mbwe mbwe
Aroro na Bien Aimé ni mbwe mbwe
Hapa ni mbwe mbwe
[Verse 2: Bien]
Piga kazi, eh
Kulima sichagui jembe
Mzigo wangu wacha ni bebe
Jipange ama tukupange
Washa kitu, eh (Washa)
Washa kitu, shetani ahepe
Si alijileta mwenyewe?
Hapa ni shangwe tu na mbwe mbwe
Hapa ni mbwe mbwe
[Pre-Chorus: Aaron Rimbui & Bien & Both]
Aroro
Fungua button ya shati imekukaba koo
Fungua pia mshipi, achilia tumbo
Usiogope kukula jasho yako mamama (Kula jasho yako)
Aroro
Nikona size yangu, yaani four by four
Katoto mali safi better than before
Pesa sabuni na inaniosha roho
Aroro
Fungua button ya shati imekukaba koo
Fungua pia mshipi, achilia tumbo
Usiogope kukula jasho yako mamama
Aroro
Nikona size yangu yaani four by four
Katoto mali safi better than before
Pesa sabuni na inaniosha roho
[Chorus: Bien]
Hapa ni Mbwe Mbwe
Hapa ni shangwe tu na Mbwe mbwe
Hapa ni Mbwe Mbwe
Hapa ni shangwe tu na Mbwe mbwe
Mbwe mbwe
[Instrumental Break]
[Verse 3: Bien & Aaron Rimbui]
Huku kwetu
Huku masikini na wadosi
Kuna ma-barbie na ma-odi
Hatubagui rangi ya ngozi
Lokesheni yetu badilisha lokesheni
Pesa ni mingi, pombe haitoshi
Nakumeanza kunuka moshi
Ayo!
[Pre-Chorus: Aaron Rimbui]
Aroro
Fungua button ya shati imekukaba koo
Fungua pia mshipi, achilia tumbo
Usiogope kukula jasho yako, mamama
Aroro
Nikona size yangu, yaani four by four
Katoto mali safi better than before
Pesa sabuni na inaniosha roho
Oh-oh-oh
[Outro: Bien]
Mbwe mbwe
Mbwe mbwe
Mbwe mbwe
Mbwe mbwe
Mbwe mbwe