Video de: Ulimwengu Feat Vini Ngugi Y Eric Wainaina Lyrics Corciolli » Lyrics Fox.MusicaDe.Win

Bienvenidos a Fox.MusicaDe.Win Disfruta del Video de: Ulimwengu Feat Vini Ngugi Y Eric Wainaina 2025 Corciolli » Lyrics y comparte musicas con los amigos, Musica Gratis 2025! Fox.MusicaDe.Win!.

Video de: Ulimwengu Feat Vini Ngugi Y Eric Wainaina Lyrics Corciolli » Lyrics

Corciolli - Ulimwengu Feat Vini Ngugi Y Eric Wainaina Lyrics


Tunapojituma
Kuyaharibu makaazi yetu
Tunajihatarisha
Bila shaka twajiangamiza

Muda wetu wayoyoma
Kadri unavyosonga
Tunajiteketeza
Misitu ikiisha utavutaje mvua

Jukumu letu kuelewa
Kuwa jua, mwezi, mvua na ardhi
Wanyama pori na adinasi
Mito, milima, misitu na nyasi
Vidudu na ndege wa angani
Vimefumwa kwa pamoja

Ulimwengu ukizunguka
Kile tunachopanda
Bila shaka ndicho tutavuna
Kama jua likitua
Yale tunayofanya
Bila shaka yatatufuata

Binadamu ni tishio kubwa kwa dunia
Na vitendo anavyo fanya
Hufanya viumbe kuumia

Sasa chukua hatua
Wakati ndio sasa
Kuyahifadhi mazingira
Kupata amani
Twahitaji uwiano
Kuilinda dunia
Kwa vizazi vijavyo

Ulimwengu ukizunguka
Kile tunachopanda
Bila shaka ndicho tutavuna
Kama jua likitua
Yale tunayofanya
Bila shaka yatatufuata

Ulimwengu Feat Vini Ngugi Y Eric Wainaina » Corciolli Letras !!!
Esta web no aloja ningun archivo mp3©Fox.MusicaDe.Win 2025 Colombia - Chile - Argentina - Mexico. All Rights Reserved.

Musica Online, Escuchar musica online , Musica En Linea, Musica en linea gratis, Escuchar Musica Gratis, Musica Online 2025, Escuchar Musica

Musica 2025, Musica 2025 Online, Escuchar Musica Gratis 2025, Musica 2025 Gratis, Escuchas, Musica de Moda.