Video de: Majaliwa Ft Fena Lyrics Chris Kaiga » Afro Fox.MusicaDe.Win

Bienvenidos a Fox.MusicaDe.Win Disfruta del Video de: Majaliwa Ft Fena 2025 Chris Kaiga » Afro y comparte musicas con los amigos, Musica Gratis 2025! Fox.MusicaDe.Win!.

Video de: Majaliwa Ft Fena Lyrics Chris Kaiga » Afro

Chris Kaiga - Majaliwa Ft Fena Lyrics


Majaliwa Lyrics[Chorus: Fena Gitu]
Mungu akipenda basi s'wezi zuiwa (Uh huh)
Majaliwa, Mungu akipenda basi s'wezi zuiwa (Uh huh)
Majaliwa, mahali naelekea lazima nitafika (Uh huh)
Majaliwa, leo isipoweza kuna kesho pia
Majaliwa, Mungu akipenda, majaliwa

[Verse 1: Fena Gitu]
Na hata wakifunga milango (Kaboom)
Dirisha zimefunguliwa
Maisha huwa tough in the jungle
Lioness huwa halali njaa
Mama said I should always stay humble
Nilidrop ball once in my lifetime
Ukanipa another chance coz you love me so
Naomba hii bag nisi fumble
[Refrain: Fena Gitu]
Uuuuh! The way you saved me
Mipango yote ya shetani imepanguliwa
With your love and grace
Na msosi sikosi nimeandaliwa
So let me make you proud
All the way to the stars
Bendera yetu ipepee (Tuipеpee)

[Chorus: Fena Gitu]
Majaliwa, Mungu akipenda basi s'wezi zuiwa (Uh huh)
Majaliwa, mahali naelеkea lazima nitafika (Uh huh)
Majaliwa, leo isipoweza kuna kesho pia
Majaliwa, Mungu akipenda, majaliwa

[Verse 2: Chris Kaiga]
Inua tumbler, shukuru sir Jah
Hataka huna mkwanja, shukuru afya
Hii ni ya wasee hawaja give up on the hustle
Hii ina inspire msee anaiskia kuwa champion
Na aim for the top bila riffle
Ma rival na check from afar ki horizon
Na stay on the top kama title
Na eyes on the prize bila kuangalia kando
Majaliwa nina shoulder naweza lie on
Majaliwa ni Jehova na rely on
Majaliwa hii ni ngoma ita go viral
In time bro kanairo na kwa charts international
You might also like[Chorus: Fena Gitu]
Majaliwa, Mungu akipenda basi s'wezi zuiwa (Uh huh)
Majaliwa, mahali naelekea lazima nitafika (Uh huh)
Majaliwa, leo isipoweza kuna kesho pia
Majaliwa, Mungu akipenda, majaliwa

Majaliwa Ft Fena » Chris Kaiga Letras !!!
Esta web no aloja ningun archivo mp3©Fox.MusicaDe.Win 2025 Colombia - Chile - Argentina - Mexico. All Rights Reserved.

Musica Online, Escuchar musica online , Musica En Linea, Musica en linea gratis, Escuchar Musica Gratis, Musica Online 2025, Escuchar Musica

Musica 2025, Musica 2025 Online, Escuchar Musica Gratis 2025, Musica 2025 Gratis, Escuchas, Musica de Moda.