Video de: Mtasubiri Ft Zuchu Lyrics Diamond Platnumz » Afro Fox.MusicaDe.Win

Bienvenidos a Fox.MusicaDe.Win Disfruta del Video de: Mtasubiri Ft Zuchu 2025 Diamond Platnumz » Afro y comparte musicas con los amigos, Musica Gratis 2025! Fox.MusicaDe.Win!.

Video de: Mtasubiri Ft Zuchu Lyrics Diamond Platnumz » Afro

Diamond Platnumz - Mtasubiri Ft Zuchu Lyrics


"Mtasubiri" lyrics Diamond Platnumz Lyrics "Mtasubiri"
(feat. Zuchu)

Mmmh mmmh mmmh

Eeh nini sasa

Eti amina, dua zimeitikiwa
Ashtuti nije kupa mali yako
Ooh fanya hima, mwenzako nimezidiwa
Mahututi nasubiri tiba yako
Na nisipo kuona na raha nakosa
Situlii mpaka unikumbate darling
Ooh
Kiranga chote mi koma, ukianza dear
Shughuri kwisha yangu habari

Eti unanipenda mi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia
Oh unanipenda mimi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia

Mnasubiri tuachane
Ooh mtangoja
Mtasubiri sana mtasubiri
Wanasubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubiri
Vuten kiti mkae
Mtasubiri sana mtasubiri

Ooh baby mi mwenzako njiwa wakufugwa
Ooh baby vya chakuchaku vitanifuja
Ooh baby mie wa pwani mzawa wa unguja
Ooh baby penzi laini sitoi buja
Na moyo nishaweka kwako nanga
Wanajisumbua kukesha kwa waganga
Na presha zitaqwashuka na kupanda
Tena deka we shaukwa baby tamba

Eti unanipenda mi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia
Oh unanipenda mimi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia

Mnasubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubiri
Mtakesha
Mtasubir sana mtasubiri
Mtandike jamvi mukae
Mtasubiri sana mtasubiri
Mtangoja sana

Wanasema eti umeniroga
Ni kweli ila inawahusu nini
Hunipendi ila unanichuna
Ni kweli ila inawahusu nini
Eti wanasema wewe ni kicheche
Ni kweli ila inawahusu nini
Utanichezea kesho uniache
Ni kweli ila inawahusu nini



Mtasubiri Ft Zuchu » Diamond Platnumz Letras !!!
Esta web no aloja ningun archivo mp3©Fox.MusicaDe.Win 2025 Colombia - Chile - Argentina - Mexico. All Rights Reserved.

Musica Online, Escuchar musica online , Musica En Linea, Musica en linea gratis, Escuchar Musica Gratis, Musica Online 2025, Escuchar Musica

Musica 2025, Musica 2025 Online, Escuchar Musica Gratis 2025, Musica 2025 Gratis, Escuchas, Musica de Moda.