Video de: Damu Ya Salaam Lyrics Sting » New Wave Fox.MusicaDe.Win

Bienvenidos a Fox.MusicaDe.Win Disfruta del Video de: Damu Ya Salaam 2025 Sting » New Wave y comparte musicas con los amigos, Musica Gratis 2025! Fox.MusicaDe.Win!.

Video de: Damu Ya Salaam Lyrics Sting » New Wave

Sting - Damu Ya Salaam Lyrics


Tangu iraki mpaka amerika
Wako karibu yakufunga vita
Mi mama mzazi nauliza
Ni nani ata linda watoto wetu
Bwana hussein anasema:
"nataka salaam"
Mi si aminiye neno ile
Damu yaliyo mwangiwa
Ni ya wadogo na watoto tu
Mimi huyu nakosa njiya
Yakusikika kwa wakubwa
Kwa hakika tulijioneya
Vita ya kwanza ilizala fitina
Bwana hussein anasema:
"nataka salaam"
Mi si aminiye neno ile
Damu yaliyo mwangiwa
Ni ya wadogo na watoto tu
Nakata matumaini
Ju kwa vile naona
Wakubwa hawajali macozi ya
Mutu mudogo analiya wake
Siraha ya amani ilikuta kwake
Mr.clinton anasema:
"nataka salaam"
Mi si aminiye neno ile
Damu yaliyo mwangiwa
Ni ya wadogo na watoto tu
Mr.clinton anasema:
"nataka salaam"
Mi si aminiye neno ile
Damu yaliyo mwangiwa
Ni ya wadogo na watoto tu

Damu Ya Salaam » Sting Letras !!!

Videos de Sting

Esta web no aloja ningun archivo mp3©Fox.MusicaDe.Win 2025 Colombia - Chile - Argentina - Mexico. All Rights Reserved.

Musica Online, Escuchar musica online , Musica En Linea, Musica en linea gratis, Escuchar Musica Gratis, Musica Online 2025, Escuchar Musica

Musica 2025, Musica 2025 Online, Escuchar Musica Gratis 2025, Musica 2025 Gratis, Escuchas, Musica de Moda.