Video de: Kaa Na Mamayako Lyrics Alvin Brown Beats » Lyrics Fox.MusicaDe.Win

Bienvenidos a Fox.MusicaDe.Win Disfruta del Video de: Kaa Na Mamayako 2025 Alvin Brown Beats » Lyrics y comparte musicas con los amigos, Musica Gratis 2025! Fox.MusicaDe.Win!.

Video de: Kaa Na Mamayako Lyrics Alvin Brown Beats » Lyrics

Alvin Brown Beats - Kaa Na Mamayako Lyrics

Man a bad man ting
(Ah look baby, ah, maybe your pussy dead)

Shika toto, wolan
Kemba toto, wolan
Shika toto, wolan
Kemba toto, wolan

Kama hakuna, kaa na mama yako, usikuje hapa
Kaa na mama yako
Kama hakuna, kaa na mama yako, usikuje hapa
Kaa na mama yako
Kama hakuna, kaa na mama yako, usikuje hapa
Kaa na mama yako
Kama hakuna, kaa na mama yako, usikuje hapa
Kaa na mama yako

Wacha ni-finesse wacha nikutest
Nione girl ka leo uta undress
Nipunguzie stress, mjulubeng
Bend, bend, nikubeng beng
Alejandro, Chief Inspector
Nipple zako nazinyonya kama nector
Kitu mi hufuata solo ni macheda
Sio bomb inalipuka ni mavela
Tunafuliza leo kivuvuzela
Zimetushika zimetufunga kijela
Rieng ni kukamatia na kukemba
Na mawezere uzi za ya ayela
Kama hakuna, kaa na mama yako, usikuje hapa
Kaa na mama yako
Kama hakuna, kaa na mama yako, usikuje hapa
Kaa na mama yako
Kama hakuna, kaa na mama yako, usikuje hapa
Kaa na mama yako
Kama hakuna, kaa na mama yako, usikuje hapa
Kaa na mama yako

Kanipiga mate, kanikwata waya
Kako njaa nakapea miti
Kuna nduru gizani, tititi
Bobo shanta, yayayaya
Dush kawika, oh mama, mama, ma
Sato, sato, kakakaka
Nyundo msumeno tunapakana-nana
Shhh, nyonga nduru, nduru
Cheza chini ka Waiguru, guru
We mtamu ka sukari nguru, nguru
Kabakora kako ndani si ni turu, turu

Kama hakuna, kaa na mama yako, usikuje hapa
Kaa na mama yako
Kama hakuna, kaa na mama yako, usikuje hapa
Kaa na mama yako
Kama hakuna, kaa na mama yako, usikuje hapa
Kaa na mama yako
Kama hakuna, kaa na mama yako, usikuje hapa
Kaa na mama yako
Wolan (Auuiii, serekali saidia)
Wolan (Mwanamke asipotoka kwa nyumba, ataolewa na jirani)
Wolan
Wolan

Chapa ilale, chapa igande
Leta kiherehere nitachapa inyambe
Kisha inipe kichwa nikiwasha hii ngale
Juu tuko maji basi wache izame
Gedeng, gedeng, mi ndio baze-bazeng
Mtoto akililia basi give dem, give dem
Nakisoma macho ikipretend, pretend
Mi hukata maji tu maweekend, weekend
Ka ni date kati ya wiki inadepend, depend
Wee ni shallow-end ama deep-end, deep-end
Unataka lion ama kitten, kitten
Sura nakupea ka-five, haga ki-ten, ki-ten

Kama hakuna, kaa na mama yako, usikuje hapa
Kaa na mama yako
Kama hakuna, kaa na mama yako, usikuje hapa
Kaa na mama yako
Kama hakuna, kaa na mama yako, usikuje hapa
Kaa na mama yako
Kama hakuna, kaa na mama yako, usikuje hapa
Kaa na mama yako
Ochungulo family
What a gwan, what a gwan
Ingine tena

Kaa Na Mamayako » Alvin Brown Beats Letras !!!
Esta web no aloja ningun archivo mp3©Fox.MusicaDe.Win 2025 Colombia - Chile - Argentina - Mexico. All Rights Reserved.

Musica Online, Escuchar musica online , Musica En Linea, Musica en linea gratis, Escuchar Musica Gratis, Musica Online 2025, Escuchar Musica

Musica 2025, Musica 2025 Online, Escuchar Musica Gratis 2025, Musica 2025 Gratis, Escuchas, Musica de Moda.