Video de: Yataniua Ft Diamond Platnumz Lyrics Mbosso » Pop Fox.MusicaDe.Win

Bienvenidos a Fox.MusicaDe.Win Disfruta del Video de: Yataniua Ft Diamond Platnumz 2025 Mbosso » Pop y comparte musicas con los amigos, Musica Gratis 2025! Fox.MusicaDe.Win!.

Video de: Yataniua Ft Diamond Platnumz Lyrics Mbosso » Pop

Mbosso - Yataniua Ft Diamond Platnumz Lyrics


1 Yataniua LyricsNi nini hiki mbona chanizuzua
Nini hiki mbona chanisumbua
Nakaribia kuzalilika
Nakaribia kuzalilika

Aliyeumba mapenzi hakusema yanamaumivu
Aliyeumba mapenzi kakusema unaua wivu
Gharama mapenzi gharama
Utachukia ndugu marafiki ugomvi na mama
Gharama mapenzi gharama
Na nidonda sugu halitibiki ukishazama
Unamuamini nakuzani ndugu yako
Kumbe kijini ndio baby wa baby wako

Mapenzi yataniua
Bora nitafute pesa nianze jishaua
(Niwe happy now)
Mi mahaba yataniua (yatani kill)
Bora nitafute pese nianze jishaua
Nikizipata ni
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitu tu
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitungi
You might also likeNa watakoma aisee hili party
Nyama choma ashjee ashe
Miziki magoma ashjee vya arusha nivichomaje aje aje
Na watakoma aisee hili party
Nyama choma ashjee ashe
Miziki magoma ashjee vya arusha nnita vishhh
Nipite na kila mtu
Hadi we, hadi we
Hadi we, hadi wewe
Hadi we, hadi we
Hadi we, hadi wewe
Eh, kaa kupenda kampende baba ako (aah baba ako)
Si unapenda kampende dada ako (aah dada ako)
Kaa kupenda, kampende baba ako (aah baba ako)
Si unapenda kampende kaka ako (aah kaka ako)

Mapenzi yataniua (yatanikill)
Bora nitafute pesa nianze jishaua
(Niwe happy now)
Mi mahaba yataniua (yatani kill)
Bora nitafute pese nianze jishaua
Nikizipata ni
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitu tu
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitungi
Gharama mapenzi gharama
Utachukia ndugu marafiki ugomvi na mama
Gharama mapenzi gharama
Na nidonda sugu halitibiki ukishazama
Hadi we, hadi we
Hadi we, hadi wewe

Yataniua Ft Diamond Platnumz » Mbosso Letras !!!
Esta web no aloja ningun archivo mp3©Fox.MusicaDe.Win 2025 Colombia - Chile - Argentina - Mexico. All Rights Reserved.

Musica Online, Escuchar musica online , Musica En Linea, Musica en linea gratis, Escuchar Musica Gratis, Musica Online 2025, Escuchar Musica

Musica 2025, Musica 2025 Online, Escuchar Musica Gratis 2025, Musica 2025 Gratis, Escuchas, Musica de Moda.