Video de: Si Mimi Lyrics African Boy » Lyrics Fox.MusicaDe.Win

Bienvenidos a Fox.MusicaDe.Win Disfruta del Video de: Si Mimi 2025 African Boy » Lyrics y comparte musicas con los amigos, Musica Gratis 2025! Fox.MusicaDe.Win!.

Video de: Si Mimi Lyrics African Boy » Lyrics

African Boy - Si Mimi Lyrics



Si Mimi Lyrics[Intro]
Heyyyy Yee
Yeyi Yeee

[Verse 1]
Eh Nitazunguka dunia
Nitangaze sifa zako, Uzuri wako
Siwezi fanya siri
Wanibebeshe gunia
Na zote dhambi zako, Sumu yako
Imetawala mwili

[Pre-Chorus]
Si Mimi
Ni akili yangu
Si Mimi
Ni moyo wangu
Si Mimi
Ni mawazo yangu
Si Mimi
Labda roho yangu

[Chorus]
Mimi bila we
Mimi bila we
Mimi bila we
Si bora waniuwe
Mimi bila we
Mimi bila we
Mimi bila we
Si bora waniuwe

Eeeehh
Oooh
Aaah

[Verse 2]
We ndo daktari
Mponya maradhi, Yani kama zali
Zali la mentali
Nakupenda kweli
Hilo liko wazi, Jua ukinitupa
Utaniachia simanzi

[Pre-Chorus]
Si Mimi
Ni akili yangu
Si Mimi
Ni moyo wangu
Si Mimi
Ni mawazo yangu
Si Mimi
Labda roho yangu

[Chorus]
Mimi bila we
Mimi bila we
Mimi bila we
Si bora waniuwe
Mimi bila we
Mimi bila we
Mimi bila we
Si bora waniuwe

Si Mimi » African Boy Letras !!!
Esta web no aloja ningun archivo mp3©Fox.MusicaDe.Win 2025 Colombia - Chile - Argentina - Mexico. All Rights Reserved.

Musica Online, Escuchar musica online , Musica En Linea, Musica en linea gratis, Escuchar Musica Gratis, Musica Online 2025, Escuchar Musica

Musica 2025, Musica 2025 Online, Escuchar Musica Gratis 2025, Musica 2025 Gratis, Escuchas, Musica de Moda.