Video de: Umenikamata Lyrics African Boy » Lyrics Fox.MusicaDe.Win

Bienvenidos a Fox.MusicaDe.Win Disfruta del Video de: Umenikamata 2025 African Boy » Lyrics y comparte musicas con los amigos, Musica Gratis 2025! Fox.MusicaDe.Win!.

Video de: Umenikamata Lyrics African Boy » Lyrics

African Boy - Umenikamata Lyrics



Umenikamata LyricsNisikilize ninavyoimba (imba)
Na Pia Navyopiga Gitaa
Naona Watu wamependeza
Nyuso zao zimejaa Furaha (Furaha,Ahhh)

Najua Ujue Leo hii
Kitatokea nini
Najua Ujue Leo Hii
Nitakuambia nini (Nitakuambia nini,Darling)



(CHORUS)
I do These For You (these for You)
I Do these For You (these for You)(I do these for you)
I do these for you (i do these for you)
These for you (i do these for you)
I do these for you (i do these for you)
These for you

Najua napenda Kukuona wewe
Ukiwa na Furaha (ahhhh)
Najua Thamani na Heshima Yako
Kweli Unanifaa

Umenikamata Weee
Umenikamata X 4

Haki ya Mungu Wewe Ni Mzuri
You Are so Beautifull
Na Mungu Kakujalia
Huna Chembe Ya Kiburi
Wewe ni msafi wa Roho

I Dont Wanna Let You
Go

I wanna Marry You
Girl And Nothing Comes Between Us

Am Gonna Give You
My Loving and Make them
Wanna be us

(CHORUS)
I do These For You (these for You)
I Do these For You (these for You)(I do these for you)
I do these for you (i do these for you)
These for you (i do these for you)
I do these for you (i do these for you)
These for you


Najua napenda Kukuona wewe
Ukiwa na Furaha (ahhhh)
Najua Thamani na Heshima Yako
Kweli Unanifaa

Umenikamata Weee
Umenikamata X 4


(BRIDGE)
Mamy Namuomba Mungu
Akulinde (Akulinde)
Akutunze na watoto uniletee
Wewe ni Furaha Yangu (Yangu)
Maisha Yangu (ni wewe)
Ni weeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


Najua napenda Kukuona wewe
Ukiwa na Furaha (ahhhh)
Najua Thamani na Heshima Yako
Kweli Unanifaa

Umenikamata wee
Umenikamata X4

Umenikamata » African Boy Letras !!!
Esta web no aloja ningun archivo mp3©Fox.MusicaDe.Win 2025 Colombia - Chile - Argentina - Mexico. All Rights Reserved.

Musica Online, Escuchar musica online , Musica En Linea, Musica en linea gratis, Escuchar Musica Gratis, Musica Online 2025, Escuchar Musica

Musica 2025, Musica 2025 Online, Escuchar Musica Gratis 2025, Musica 2025 Gratis, Escuchas, Musica de Moda.