Video de: Nisiulizwe Lyrics African Boy » Lyrics Fox.MusicaDe.Win

Bienvenidos a Fox.MusicaDe.Win Disfruta del Video de: Nisiulizwe 2025 African Boy » Lyrics y comparte musicas con los amigos, Musica Gratis 2025! Fox.MusicaDe.Win!.

Video de: Nisiulizwe Lyrics African Boy » Lyrics

African Boy - Nisiulizwe Lyrics



Nisiulizwe Lyrics[Intro]
Yo, yo, you're so fine
Baby (Hey!)
I do this for you, Oh no
Mmmh
(S2Kizzy, Baby)

[Verse 1]
Nahisi niko kwenye njozi
Huba imenikolea, kuamka sitamani (Kuamka sitamani)
Yeah
Tena na kusihi ulilinde penzi
Mwenzako nimenogewa, hoi taabani (Hoi taabani)

[Chorus]
Na hata nikiumwa we' ndio unanitibu
Wangu daktari, kukupenda ni wajibu
Nisiulizwe maswali
Baby, nipe taratibu
Huo utamu wa asali
Kukupenda ni wajibu
Nisiulizwe, no, no

[Post-Chorus]
Kwako nitang'ang'ana (Ntang'ang'ana nawe, mmm)
Kwako nitang'ang'ana (Ntang'ang'ana nawe)
Ah, kwako nitang'ang'ana tu (Ntang'ang'ana nawe)
Eh, eh-eh
Kwako nitang'ang'ana (Ntang'ang'ana nawe)
Yeah, yeah
Sababu I love you
Yeah, yeah
I love you
Mmm, yeah

[Verse 2]
Naanzaje kuku-cheat nakifata kipi?
Hakuna jipya duniani nishafanya utafiti
Tena umewaacha [mbal-e], ulipo we 'hawafiki
Maombi yangu toka kale, nimepata rafiki
Mmm

[Hook]
Na hata nikiumwa we' ndio unanitibu
Wangu daktari, kukupenda ni wajibu
Nisiulizwe maswali (Yeah, yeah)
Baby, nipe taratibu
Huo utamu wa asali
Kukupenda ni wajibu
Nisiulizwe, no, no

[Outro]
Kwako nitang'ang'ana (Ntang'ang'ana nawe, mmm, yeah)
Kwako nitang'ang'ana (Ntang'ang'ana nawewe, hey)
Kwako nitang'ang'ana tu (Ntang'ang'ana nawe)
Eh, eh-eh
Kwako nitang'ang'ana (Ntang'ang'ana nawe)
Yeah, yeah
Sababu I love you
Yeah, yeah
I love you

Nisiulizwe » African Boy Letras !!!
Esta web no aloja ningun archivo mp3©Fox.MusicaDe.Win 2025 Colombia - Chile - Argentina - Mexico. All Rights Reserved.

Musica Online, Escuchar musica online , Musica En Linea, Musica en linea gratis, Escuchar Musica Gratis, Musica Online 2025, Escuchar Musica

Musica 2025, Musica 2025 Online, Escuchar Musica Gratis 2025, Musica 2025 Gratis, Escuchas, Musica de Moda.